Key Features
- Flexible Contributions – Choose how much and how often you want to save, based on your income and goals.
- Dual Benefit – Combines life insurance protection with a savings component in one plan.
- Affordable Premiums – Designed to be accessible, with low minimum contribution requirements.
- Easy Access – Seamless onboarding and premium payments through mobile money and other bank digital channels.
- Policy Maturity Payout – Receive your partial maturity at predetermined periods and accumulated savings plus applicable bonuses at the end of the policy term.
Key Benefits
Wealth Building with Flexibility
Dual Advantage in One Plan
Reliable Long-Term Investment Growth
Comprehensive Life Protection Cover
FAQs
Mtu yeyote mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 65 anaweza kujiunga. Mpango huu umebuniwa kwa ajili ya wale wanaotafuta bima pamoja na njia ya kujiwekea akiba.
Ukifikisha ukomo wa mpango, utalipwa akiba yako yote pamoja na bonasi yoyote itakayokuwa imeongezwa. Ikiwa kutatokea kifo wakati wa mpango, warithi wako watalipwa kiasi cha bima kilichoainishwa.
Unaweza kujiunga kupitia mawakala wa Jubilee Life Insurance, matawi yao au kwa kutumia majukwaa ya kidijitali. Utahitaji kitambulisho, mawasiliano na taarifa zako za malipo.
Unaweza kuchagua kulipa kila mwezi, kila robo mwaka au kila mwaka — kulingana na kile kinachokufaa zaidi.
Baada ya kipindi fulani kupita, unaweza kuruhusiwa kutoa sehemu ya akiba yako — kulingana na masharti ya mpango. Hata hivyo, mpango huu umeundwa kwa malengo ya muda mrefu.
Ndiyo. Unaweza kurekebisha kiasi unachochangia au mzunguko wa malipo kulingana na mabadiliko ya kipato chako au mahitaji yako ya kifedha.
Ndiyo. Jubilee Life Insurance ni kampuni iliyosajiliwa na kudhibitiwa kisheria, na michango yako inasimamiwa kwa uwazi na kwa mujibu wa taratibu za mamlaka za bima.
Utakua na muda wa nyongeza (grace period) kufanya malipo yako. Ikiwa malipo hayatakuwepo hata baada ya muda huo, mpango unaweza kusitishwa au faida kupungua.
Unaweza kuchagua kiasi cha kuchangia kulingana na uwezo wako wa kifedha. Akiba Flex ni mpango unaolenga kuwa nafuu na rahisi kwa kila mtu.