Provide your employees with the best healthcare, supporting their well-being and productivity.  J Biz offers an all-inclusive medical insurance solution designed for SMEs with 6 to 15 employees.

Why should you choose J Biz for your team?
J Biz is perfectly tailored for SMEs (small and medium enterprises), offering flexible plans, minimal waiting periods and direct access to treatment across East Africa.

Key Benefits

Request for a callback

FAQs

Bima zetu za watu binafsi ni Jubilee Afya, Pamoja Afya, JCare, J Care Premium, J Care Senior na J Care Junior

Ukikata bima kutoka Jubilee Health Insurance utaweza kutumia kadi yako baada ya mwezi mmoja kutoka tarehe ya kadi kutolewa.

Ukiwa na bima ya Jubilee utatibiwa magonjwa mengi, lakini kuna magonjwa ambayo hayapo katika bima ambayo yameainishwa katika hati ya sera utakayopewa kabla ya kujiunga. Pia kuna magonjwa ambayo yana muda wa kusubiria wa mwaka mmoja mpaka miaka miwili kama vile kisukari, magonjwa ya moyo, shinikizo la damu, kansa, HIV na kadhalika, pia utapewa hati inayoonyesha magonjwa hayo na muda husika wa kusubiria.

Vipimo hivyo vina muda wa kusubiria wa mwaka mmoja, ina maana ya kuwa mwaka wa pili utaweza kupata huduma ya vipimo hivyo.

Iwapo unahitaji msaada wowote au taarifa tafadhali wasiliana na kituo cha mawasiliano 24/7 kwa +255746811313 au tutumie barua pepe kwa approvals@jubileetanzania.co.tz

Tuna bima za aina tofauti kwa ajili ya watu binafsi, mashirika madogo na makampuni. Bima za watu binafsi hutegemea na budget pamoja na umri wa mhusika. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia +255 22 2135121/4

Related Products