AFYA BIMA
Afya Bima is an affordable health insurance solution designed for individuals and families. It provides financial protection during hospitalization and access to quality healthcare services through a wide hospital network across Tanzania.
WHY CHOOSE AFYA BIMA
BENEFITS
CONDITIONS, EXCLUSIONS & WAITING PERIOD
- Pre-existing & chronic illnesses: 1 year waiting period
- Cancer: 2 years waiting period
- Maternity: 10 months waiting period
- Accidents: Covered immediately
HOW TO JOIN
Accessible through Airtel- Dial *150*60#
- Select Financial Services
- Select Insurance
- Select Afya Bima
- Accept terms, choose plan, and pay
AFYA BIMA
Afya Bima ni bima ya afya nafuu kwa mtu binafsi au familia. Inatoa ulinzi wa kifedha wakati wa kulazwa hospitalini na upatikanaji wa huduma za afya katika hospitali mbalimbali Tanzania.
KWA NINI UCHAGUE AFYA BIMA
FAIDA
MASHARTI, VIZUIZI NA MUDA WA KUSUBIRI
- Magonjwa sugu/yaliyokuwepo: Mwaka 1
- Saratani: Miaka 2
- Uzazi: Miezi 10
- Ajali: Huduma huanza mara moja
- Hakuna huduma nje ya Tanzania
JINSI YA KUJIUNGA
Inapatikana kupitia Airtel- Piga *150*60#
- Chagua Huduma za Kifedha
- Chagua Bima
- Chagua Afya Bima
- Kubali masharti, chagua mpango na ulipe
FAQs
Bima za watoto zipo za aina mbili yaani Pamoja Afya ambapo ina gharama za watoto wa chini ya miaka mitano na kuanzia miaka mitano na kuendelea, pia tuna bima kubwa ya watoto iitwayo J Care Junior ambayo ina kategori tano za kuchagua.
Ndio tunayo bima kwa ajili ya wazee, bima hii inaitwa J Care Senior ambapo inachukua wazee kuanzia miaka 61 hadi 80, na mpaka miaka 85. Mtu akisasisha bima yake (kurenew)ina kategori tano za kuchagua.