Naweza kujua package zenu za bima zikoje?
Tuna bima za aina tofauti kwa ajili ya watu binafsi, mashirika madogo na makampuni. Bima za watu binafsi hutegemea na budget pamoja na umri wa mhusika. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia +255 22 2135121/4