Mnayo bima kwa ajili ya wazee?

Ndio tunayo bima kwa ajili ya wazee, bima hii inaitwa J Care Senior ambapo inachukua wazee kuanzia miaka 61 hadi 80, na mpaka miaka 85. Mtu akisasisha bima yake (kurenew)ina kategori tano za kuchagua.

Other Titles