Je nikikata bima kwenu naweza kuitumia pindi nitakapo pata kadi yangu ya bima?
Ukikata bima kutoka Jubilee Health Insurance utaweza kutumia kadi yako baada ya mwezi mmoja kutoka tarehe ya kadi kutolewa.