Bima zenu za Watoto zipoje?
Bima za watoto zipo za aina mbili yaani Pamoja Afya ambapo ina gharama za watoto wa chini ya miaka mitano na kuanzia miaka mitano na kuendelea, pia tuna bima kubwa ya watoto iitwayo JCare Junior ambayo ina kategori tano za kuchagua.