Je, nitaweza kufanya CT Scan, MRI au Dialysis pindi nipatapo kadi yangu ya bima?
Vipimo hivyo vina muda wa kusubiria wa mwaka mmoja, ina maana ya kuwa mwaka wa pili utaweza kupata huduma ya vipimo hivyo.